Shilole na Nuhu Mziwanda |
Kwa mara ya Kwanza Udaku TV
imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo
kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ...
Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa Kuhusu Shilole anavyompiga magumi kila mara , Pia ameongea kuhusu Michapio ya Kingereza anayoandikaga kwenye Page yake ya Instagram
Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa Kuhusu Shilole anavyompiga magumi kila mara , Pia ameongea kuhusu Michapio ya Kingereza anayoandikaga kwenye Page yake ya Instagram
No comments:
Post a Comment