05 March 2015

Nguo Fupi Yamdhalilisha MDADA JANA SINZA ......Wanaume wa sinza Wamshambulia, Aokolewa na Boda boda za SINZA


Hiyo ni Picha ya Msichana ambayo siku ya jana imesambaa sana mitandaoni...

 
Inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za wanaume  wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kabisa kimini hicho huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri.

Kwa bahati nzuri alitokea  boda boda na kuamua kumsaidia kwa kumpakia na kutimua mbio.

 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname