03 March 2015

NEY WA MITEGO AJITOA MUHANGA NA KUPIMA UKIMWI NA HAYA NDIO MAJIBU YA VIPIMO HIVYO


huu ni mfano wa kuigwa ney wa mitego awahamasisha wananchi na watanzania kiujumla katika kuzijua afya zao, msanii wa music wa kizazi kipya anayeenda kwa jina la ney wa mitego leo amefunguka kupitia mtandao wa makubwahayablog yakuwa ni vizuri sisi tukiwa kama vijana


kuweza kupima ukimwi yeye akiwa kama msanii na kioo cha jamii haya ndio majibu ya ukimwi ya msanii ney wa mitego yakionyesha akiwa negative.. Yaani yuko salama.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname