Jarida
la soka la nchini Ufaransa limetoa orodha ya wanasoka na makocha wenye
utajili mkubwa kwasasa ulimwenguni,orodha hiyo kwa upande wa wanasoka
inaongozwa na Lionel Messi,utajili huo wa Messi unatokana na jumla ya
pesa zote anazozipata kutokana na mshahara pamoja na mikataba aliyosaini
na makampuni mbali mbali.
wakati
Messi akiongoza kwa mkwanja kwa upande wa makocha Mreno Jose Mourinho
yeye anawakimbiza wenzake kwa kupata mkwanja mnono kutokana na kazi yake
ya ukocha,Mourinho kwasasa ni kocha wa Chelsea ya ligi kuu ya England
No comments:
Post a Comment