03 March 2015

Mapenzi Yamerogwa: Wema Sepetu Pale Kati.....Akitaka Kutolewa Roho na Mboto!



Filamu mpya inayokwenda kwa jina la Mapenzi Yamerogwa, iliyowajumuisha waigizaji  wakali kama Wema Sepetu, Mboto, Hemmed PHD, Riyama na Aunty Ezekiel inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 23 mwezi huu.
“Mapenzi Yamerogwa pale kati Wema Sepetu na mustach wake mpnz Fontana akitaka kutolewa roho na Mboto aliyechoshwa na ahadi za Hemmed aliyezidiwa na mapenzi ya Faudhia aliyefundwa unyagoni na Riyama nahitaji support yenu...kazi hii itakuwa sokoni kuanzia tarehe 23 mwezi huu....tukisambaza wenyewe watu wa kazi Aunty Ezekiel  Wema Sepetu na mimi mwenyewe....Hatareeeee sana....” Fontana alitutonya.
Haya jamani kazi mpya hiyo inakuja,tuipokee kwa mikono miwili.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname