Uchuro? Baada ya
kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia
litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura
Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide, amelaaniwa vikali na mashabiki wake kwa
kitendo hicho.
ABADILI RANGI
Mwaka 2012, Jide
alitupia mtandaoni picha za jeneza lake lenye mchanganyiko wa rangi ya
zambarau na nyeupe lakini safari hii amebadilisha na kutupia mengine
mawili yenye rangi ya krimu na nyeupe.
MANENO KUNTU
Kupitia ukurasa wake wa
Instagram ambapo anatumia jina la jidejaydee, juzi, mwanadada huyo,
pamoja na picha hizo mbili, alisindikiza na maneno kuntu kwa chini
yaliyosomeka, ‘Nimebadilisha mawazo yangu, sitaki tena lile la zambarau.
Moja kati ya hayo hapo juu. Msinimaindi. Kila mtu atakufa. Nilikuwa
nafikiria pia iwe kwa waalikwa tu. Sitaki kufunuliwa’.
MASHABIKI WAMLAANI
Risasi Jumamosi
liliinyaka ishu hiyo sekunde chache baada ya Jide kuitupia ambapo ndani
ya muda mfupi ‘posti’ hiyo ilikuwa na maoni mengi ya kulaani kitendo
hicho.
Baadhi ya mashabiki walieleza waziwazi kuchukizwa na jambo hilo alilolifanya staa wao wanayempenda.
SEHEMU YA MAONI
“Kifo kipo kwa kila binadamu lakini hatutakiwi kukifikiria hivyo dada (Jide) unamkosea muumba wako.
“Wewe ni kioo changu, ila kwa hili kwa kweli sijalipenda.
“Jamani dada mbona unatutisha au haupo sawa leo?
“Wewe wajina umefikiria nini lakini?
“Kama umeshaona unakufa sema tujue.
“Duh! Dada fanya maombi hiyo ni roho ya umauti.
“Dada nini tena mbona
unamkufuru Mungu? Hata kama una machungu kiasi
gani, huwezi kufanya hivyo kwani ni mipango ya Mungu. Muombe akusamehe.
“Wewe Jide wewe huogopi lakini?
“Najua sote tupo njia
hiyo lakini kwa nini leo umeamua kutuandikia hivyo? Naomba mipango ya
shetani ishindwe!” ilisomeka sehemu ya maoni hayo iliyoungwa mkono na
baadhi ya mashabiki wake waliojawa na simanzi.
MCHUNGAJI AMUUNGA MKONO
Akizungumzia tukio hilo,
mchungaji maarufu jijini Dar alisema kuwa, kila mtu anatakiwa kujiandaa
kwa kuwa kila nafsi itaonja umauti hivyo ni vema kujiandaa kwa kutenda
mema.“Maandalizi yanayopaswa kuwa makubwa ni ya kiroho kwa kuhakikisha
unatenda mema ili kupata tiketi ya kwenda peponi na kukwepa adhabu ya
Jehanamu,” alisema mchungaji huyo.
KUTOKA RISASI JUMAMOSI
Kifo ni haki yetu lakini si vema kumchuria mtu au kujichuria kwa kuwa ni tukio lisilozoeleka katika maisha ya mwanadamu
Introduced past completely should the Calibre group appeared to be fake rado sale published, that it was that they are a brand's innovative flagship it will be possible unit inside of a game instance this as well displayed a brand's innovative in-house action (a quality 1904MC). When fake omega sale never without the need of it has the eccentricities, I actually experienced them at once as well as group turned triumph. The Calibre (researched listed here) fake rolex sale appeared to be observed right up together with the Calibre Chronograph out of 2013, plus to get 2014 Cartier is going to put out a Calibre Diver. Listed here I actually appeared to be pregnant a Calibre GMT to get 2014 plus preferably We're pleasantly surprised which includes a diver. We're never worrying. Look at devotees for instance people fake rolex sale visit coo to get divers plus each one deluxe make will need to have a person. Is an excellent a luxury diver is definitely a reduced amount of pertaining to essentially hublot replica sale getting, and many more for the plan that you may put together a functional resource look at sweetheart around you actually together with the brand-obsessed fashionista this confidentially would like significant companies. Hence bring a person section Cartier and the other section diving look at plus for quite a few you will have a fantastic formula.
ReplyDelete