02 March 2015

Azam wamtimua Kocha baada ya Kipigo cha El Merreick



Azam Fc imetangaza kumfukuza kazi kocha Joseph Omog raia wa Cameroon.
Pamoja na Omong, Msaidizi wake ,Ibrahim Shikanda ameteuliwa na mikoba amepewa George Best Nsimbe raia wa Uganda ambaye ni msaidizi wake namba moja

Best ambaye ameanza kazi Azam Fc msimu uliopita,sasa ndiyr ataongoza jahazi.
Ingawa uongozi wa Azan Fc haujaanika kila kitu,lakini inaonekana Omog anaondoka baada ya Azam kuondolewa katika Ligigi ya Mabingwa Afrika Kwa kufungwa jumla ya mabao 3-2.

Omog ndiye aliyeipa Azam Fc Ubingwa wake wa kwanza wa ligi kuu Bara na ushindi wake wa kwanza katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname