Katika hali ya kujiamini kabisa, jana kwenye kipindi cha Televisheni Cha Friday Night Live kinachorushwa na kituo cha East Africa Television (EAT), Mwanamama Shiole alifunguka na kuwataka baadhi ya watu na mashabiki wake ambao wamekuwa wakimshabulia yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kutokana na kitendo ya Shilole kumzaba kibao mchumbawake huyo mbele za watu.
Shilole akionhea kwa nyodo na kujiamini aliwataka watu waasipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa , kwani watu wameshupalia ishu hiyo ya kumpiga kibao mme wake mtarajiwa wakati hawajui kilichotokea.
Leo kuthibitishakuwa penzi lao linadhidi kusonga mbele, tofauti na watu wanavyo msema sana Nuh Mziwanda,ametupia picha hiyo hapo juu anuandika maneno haya;
“Kiuno on ma hands damn it!!! U killing me mama”
No comments:
Post a Comment