Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City.
Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz kwenye Gari aina ya BMW
No comments:
Post a Comment