PICHA: Birthday Party ya Butuli Iliyofanyika Hoteli ya Kempisk Hapo Jana
Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na mwigizaji wa filamu Yobnesh
Yussuph ‘Butuli’ aliposherekea siku yake ya kuzaliwa katika hoteli ya
Hyatt Regency Kempisk hapo jana.
Sherehe hiyo ilihudhuliwa na baadhi ya watu wake wa karibu wakiwemo
waigizaji wenzake, mbali na kufanya sherehe hiyo mapema siku ya jana
Butuli aliwatembea watoto wanaoisha kwenye mazingira magumu.
No comments:
Post a Comment