Katika hali ya kushangaza,Nguruwe amezaa kiumbe kinacofanana na binadamu
huko Burundi,tukio hili lilitokea juzi ambapo Nguruwe huyo ambaye
amezoeleka kuzaa watoto zaidi ya wastani alizaa kiumbe kimoja tu chenye
asili ya kichwa cha binadamu huku sehemu nyingine zikiwa ni mnyama.
Hata Hivyo wengi waa wakazi wa Nchi hilo wamehusisha tukio hilo na imani
za Ushirikina huku wataalamu wakisema kunauwezekano kuwa kunabinadamu
aliemuingilia mnyama huyo na kumuachia mbegu za kiume
No comments:
Post a Comment