27 February 2015

NEWS..!! NDEGE YA JESHI YAANGUKA NA KUWAKA MOTO UWANJA WA NDEGE MWANZA


Taarifa kutoka Mwanza Airport ni kuwa kuna ndege ya Jeshi imelipuka na kuteketea.

Rubani wa ndege hii, ndg Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali.


Ni jet fighter, ilikua kwenye routine exercise za kila wiki. Zilikuwa zinaruka mbili kwa formation.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname