18 February 2015
NATAFUTE MUME AMBAYE SIO STAA KAMA RAY" JOHARI
STAA mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa kamwe hatarajii kuolewa na
staa kama Vicent Kigosi ‘Ray’ bali anahitaji mume wa kawaida asiye maarufu. Akizungumza na Uwazi, Johari alisema kuwa kwa upande wake hachagui
mwanaume gani wa kumuoa bali tu ajue kumthamini na kumuheshimu kama mwanamke.
Staa mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula ‘Johari’. Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe staa hata siku moja, nataka tu awe wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa kuwa mimi mwenyewe ni mtafutaji,” alisema Johari.
Awali, Johari aliwahi kuripotiwa kuwa na uhusiano wa kimap3nzi na nyota wa filamu, Ray na kuachana baadaye. Kama ni hivyo basi map3nzi yao yalikuwa ni ya ‘boyfriend’ na ‘girlfriend’ na wala si ndoa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment