Mwimbaji
mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la
Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi
karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana
vijembe mtandaoni. Akipiga stori na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa
anatarajia kuoa mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba
mipango
ikiwa
tayari kila kitu kitakuwa hadharani. Hivi karibuni wake zake wawili
ambao ni Malkia Leila Rashid ambaye pia ni mwimbaji wa kundi hilo na mke
wake mdogo aitwaye Chiku wamekuwa wakirushiana vijembe kwenye mtandao
wa kijamii wa ‘Whatsap’ kwa kuandikiana ‘Status’ za vijembe. Habari
zinasema kuwa wake hao wamekuwa kama chui na paka na mzee Yusuph hana
mpango wa kuwapatanisha kwa kuwa hakuna hata mmoja aliyeonyesha chuki
kwa
No comments:
Post a Comment