Muonekano wa Lulu 2015 Wawa Gumzo, Midume yasema Anazidi Kuwa Mtamu Kama Mcharo
Lulu Michael Mrembo wa Bongo Flava amezidi mwagiwa sifa Kede kede
mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo
anakabiliwa na kesi ya........
mauaji ya bila kukusudia ya marehemu Kanumba , Watu
wamempa sifa na kusema toka atoke mahabusu kwa dhamana amezidi kuwa
mrembo zaidi..Wapo wanaotania na kusema amezidi kuwa Mtamu kama
Mcharo!!!!
No comments:
Post a Comment