- “Let me ThrowitBack ,Shikana Mama, Enzi ZaUjanaSijawahi kuwa mweusi lol..! Rangi Ya Mtume Nimezaliwa Nayo”
Wengi walimsifu na kumpongeza Lulu kwa kuweza kuitunza ngozi yake kwakutupia “comments” na kugonga “likes” za kutosha kwenye picha hiyo, kwani anaonekana kuwa hatumii madawa/vipodozi ya kujichubua kama wadada wengi wa siku hizi hutumia madawa/vipodozi ili kubadili rangi za ngozi zao.
Jiwe gizani, wewe je hautumii? Hata wa kaka nao nasikia wamo!!!!.
No comments:
Post a Comment