19 February 2015
Je ni kweli msanii Hemed Phd kaachana na kuimba na kuigiza na kua mwanamitindo?? Cheki picha hiz
Ni mda sasa msanii Hemed Phd amekua kimya sana sio Bongo Flava wala Bongo Movie. Bado hatujajua ni je anajipanga kurudi upya au la! Baada ya kuona ukimya huo nkaamua ngoja nkapitie ukurasa wake wa Instagram kuangalia kama anaweza kua katoa taarifa kwa mashabiki wake kuhusu kitu kinachomfanya kua kimya kwa mda mrefu.
Nlichogundua ni kua katika post nyingi za Hemed zinaonyesha kua kwa sasa ni kama kaweka kuigiza na kuimba kando na kuamua kua Mwanamitindo kwano picha nyingi zimeonyesha akiwa katika mapozi tofauti tofauti kama wanamitindo wakubwa duniani.
Bado tunatafuta mawasiliano ya hemed kujua kama kaamua kuachana na kuigiza na kuimba lakini kwa sasa hebu tazama picha hizi na kisha tuambie kama anafaa kua Mwanamitindo au la!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment