Mapenzi
Moto moto ya Mwanamuzi Diamond kwa Mpenzi wake mpya bado yanaendelea ku
make headlines baada ya kumnunulia Pete na Cheni ya mkononi Zari the
lady boss , Kama picha inavyoonyesha hapo zote ni za dhahabu pure ila
gharama zake hatukuweza kujua kwa haraka ...
Zari Ameweka picha hiyo na kuandika maneno haya ..Woke up to some 24 carat eish. Thank you Boo, xoxo...#QueenTingz..
No comments:
Post a Comment