07 February 2015

Breaking Newz Msanii wa Bongo Movie 'Mama Mashaka' afariki Dunia


Msanii wa maigizo aliye wai kuwika na Kaole sanaa Group Mwajuma Abdallah 'Mama Mashaka' amefariki dunia
Mama Mashaka amefariki usiku wa Kuamkia leo katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname