AMA KWELI MZIKI WA BONGO FLEVA UNALIPA ..CHEKI NYUMBA YA JUX AMBAYO NI GHOROFA ANAYO JENGA
Msani
mahiri wa Bongo Flava Jux leo amepost Mjengo kwenye Account yake ya
instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto, hii
inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii wanaojituma.
Karibu Tuchangie Maoni.
No comments:
Post a Comment