31 January 2015

Victoria Kimani, Mtoto wetu na Ice Prince yuko tayari.

Mwimbaji kutoka Kenya Victoria Kimani anaendelea kukubali ladha ya muziki wa Nigeria ichukue nafasi kubwa kwenye muziki wake baada ya kudhibitisha kufanya collabo na Ice Prince na kwamba imekamilika.
Victoria Kimani ameweka wazi kuwa amemaliza collabo yake ya kwanza na Ice Prince na kuipa jina { My Baby }.
victoria 4
Victoria akiwa na Producer Shizzi
victoria 1 victoria 2 victoria 3

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname