The Choice

03 December 2014

ZITTO AMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE KIGOMA


http://www.rahatupu.us/
MBUNGE Jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Zuberi Kabwe amemtambulisha mchumba wake mpya anayetarajia kufunga nae pingu za maisha hivi karibuni. Mchumba huyo
Utambulishio huo wa mchumba wa Zitto ulifanywa na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi) wakati wa sherehe ya Harusi yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Annex.
hali ilikuwa hivi; baada ya Kafulila kutambulisha ndugu zake pamoja na wazazi wake ndipo alianza kutambulisha wageni wengine na kuanza na mchumba mtarajiwa wa Zitto Kabwe aliyemtaja kwa jina la Anna.

“Huyu wa kwanza anaitwa Anna anafanya kazi Ubalozi wa Ireland ni mchumba mtarajiwa wa Zitto Zuberi Kabwe, anayefuata kutoka kushoto kwa Anna wote mnamfahamu ndiyo Zitto mwenyewe na anayemfuata ni Mwalimu wangu wa chuo kikuu Kitila Mkumbo na mwisho ni mbunge mwenzangu David Silinde hao ndo walio nisindikiza,” alisema Kafulila.
Posted by Jason at 14:43
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • KWA WANAO TAFUTA WACHUMBA AMA URAFIKI WA MAPENZI HII POST INAKUHUSU
  • STAA WA PRISON BREAK SCOFIELD AJITANGAZA OFFICIAL KUWA YEYE NI SHOGA NA KUPOST PICHA ZA BASHA WAKE, TAZAMA PICHA HIZO HAPA
  • NUH MZIWANDA AMSALITI SHILOLE DODOMA... DENT WA CBE AMDATISHA KWA MAUNO KWENYE ENTER COLLEGE BASH ILIYOFANYIKA MATEI LOUNGE
  • BONGO SASA KUMENUKA TENA HUKO CHINA, UNAAMBIWA MSANII MWINGINE WA KIKE ANASWA HUKO CHINA NA MADAWA YA KULEVYA TUMBONI
  • Breaking Newzzzzz.........ANGALIA PICHA Dr.ULIMBOKA ALIVYO UMIZWA BAADA YA KUTEKWA
  • DIAMOND ASHAMBULIWA NA MASHABIKI BAADA YA KUTUSI KWA KUTUMIA KIDOLE CHA KATI KATIKA PICHA
  • MASTAA DAVIDO NA TEKNO WANACHNGIA PENZI LA AGNES MASOGANGE
  • PROFESA LIPUMBA LISSU WAKOSOA UTEUZI WA PROF MUHONGO BARAZA LA MAWAZIRI
  • VIDEO DIAMOND AMPA KIJEMBE ALLY KIBA...."HATA ALLY SIMUONI".NI SHIDAA
  • BREAKING NEWS : LOWASSA AFUNGUKA MAZIYO ,HATIMAYE A,MPONGEZA RAIS MAGUFULI

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.