03 December 2014

MAAJABU ARUSHA! MGONJWA AMUUA MWENZAKE WODINI!

Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa naye katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru,Arusha.

MAAJABU! Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel (75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu.

Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku katika wodi ya majeruhi baada ya mtuhumiwa huyo kuzua tafrani kwa kutaka kupiga wenzake, hali iliyosababisha wagonjwa mbalimbali kutimua mbio na kujificha kuokoa maisha yao na kumuacha marehemu ambaye alikuwa hajiwezi akiwa amelala kitandani. 
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa, Hashimu ambaye bado amelazwa katika wodi hiyo akiwa amefungwa pingu mkononi, chini ya ulinzi wa polisi, alieleza kuwa mnamo muda huo mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya kumaliza kuswali. 

‘’Kabla ya kuanza swala mtuhumiwa huyo alimuomba kijana aliyekuwa akimuuguza ampeleke kujisaidia,” alisema shuhuda huyo ambaye hakutaka jina lake kuandikwa gazetini.Aliongeza kuwa baada ya kurejea alipiga magoti na kuanza kuswali chini ya kitanda alichokuwa amelazwa na baadaye alipomaliza aliwaamuru wagonjwa wenzake wazime taa.SOMA ZAIDI>>>

1 comment:

  1. Accomplish you want to will meditate along with boost your well being along with louis vuitton replica sale your current spirituality? There are many involving wonderful main reasons why to train introspection, along with once you start to perform introspection physical exercises often, you will probably will experience many of the attractive positive aspects using introspection. If you meditate fake louis vuitton outlet, anyone will start to experience strain freer plus much more in tranquility. Smaller stuff would likely commonly infuriate anyone will no longer get that will very same influence giving you, and will also be capable to experience grounded along with structured at all hours. Rehearsing Introspection can be fake louis vuitton sale capable to lessen your pulse rate along with body force after a while, all of which will show you to completely take it easy nevertheless your head. Introspection allows you target along with helps you with to focus pertaining to extended durations in one issue without having to be fake chanel bags. Introspection in addition assists you to as part of your psychic operate along with can make it less complicated that you can get direction from a Larger Home along with gut instinct. If you decide to made our minds up that will you will definitely start off your current train nevertheless are not aware of best places to fake chanel bags, you need to make the decision what you look for to try and do from a introspection operate.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname