Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tano wa ushirikiano kati ya China na Afrika, waliopo mbele wane kuanzia kulia
ni Meya wa Manispaa ya Zanzibar Mstahiki Khatib Abdulrahman Khatib,Mwakilishi
wa Jimbo la Chaani Mh.e Ussi Jecha Simai, Waziri wa Ardhi Mh. Ramadhan Abdulla
Shaaban,Waziri wa Habari Mh. Said Ali Mbarouk na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
|
No comments:
Post a Comment