11 November 2014

WEMA NA ENY WAMALIZA TOFAUTI ZAO WASHIKIKIANA KATIKA KAZI


Kupatanishwa kwao kulikofanywa na rafiki yao Junaithar aliyewaalika kwenye dinner ya birthday yake usiku wa Jumamosi, haukuishia hapo bali sasa wamerudisha ukaribu kiasi cha kuanza kutembeleana.
Baada ya staa wa filamu Wema Sepetu na mtangazaji wa radio VJ Penny weekend iliyopita kumaliza tofauti zao zilizowatenganisha kwa muda mrefu, hatimaye sasa wameanza kuwa karibu.

Kupitia Instagram Wema ameshare picha hii mpya akiwa na Penny nyumbani kwake na kuandika:“And the Saga continues…SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname