Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.
Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio
Namna garo la abilia lilivyo alibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scaniaPICHA ZAIDI BOFYA HAPA>>>
No comments:
Post a Comment