The Choice

24 November 2014

UREMBO HUU NI DHAMBI!

Msanii wa filamu za Kibongo, Esha Buheti.MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti, amesema kuwa anaweza akafanya vitu vingi vya kujiremba lakini anaogopa sana kujichora tatuu kwani ni dhambi.Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Esha alisema kuwa kitu ambacho anahisi inaweza kuwa ni moja ya dhambi mbaya kabisa ni kujichora tatuu mwilini kwani katika dini yoyote au dhehebu lolote halikubali mtu kujichora vitu tofauti na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

“Nitaiga vitu vingine kama mavazi na hata nywele lakini siyo kujichora tatuu katika mwili wangu maana ni vitu hatari sana na vinakatazwa kabisa katika dini yangu ya Kiislamu,” alisema Esha.
Posted by Jason at 19:33
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • Angelina Jolie’s topless picture to be auctioned at Christie’s, London.
  • ---->ZAWADI NONO YA TSH. 30,000 TABIRI NANI ATAIBUKA MSHINDI LEO KATI YA..... (ARSENAL V/S LEICESTER CITY )
  • Waziri akuta ‘ofisi nzima’ wako likizo
  • KWA WANAO TAFUTA WACHUMBA AMA URAFIKI WA MAPENZI HII POST INAKUHUSU
  • MAMA MTU MZIMA ATEMBEA NUSU UCHI BARABARANI BILA WOGO WOWOTE AKITAFUTA WATEJA WA KUWAPA URODA
  • ALI KIBA NA DIAMOND PLATINUMS KWENYE HEADLINES TENA LEO,KIBA AFUNGUKA MAZITO
  • DIAMOND ANUNUA GARI JIPYA LA TSH MIL. 60
  • UNAAMBIWA HAYA NDIYO MAKOSA AMBAYO DIAMOND ALIYOWATENDEA WA-TZ MPAKA AKAZOMEWA FIESTA
  • Rayuu Aomba RADHI Familia Yake Kwa Picha zake za Uchi Zilizo Sambaa Mitandaoni
  • MAONI YA WADAU MBALIMBALI KUHUSU SHINDANO LA MISS TANZANIA 2013

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.