21 November 2014

UKUBALI AMA UKATAE..HAKIKA BILA HAWA WATU WANNE.. CLOUDS FM LAZIMA ITAPOTEZA MASHABIKI WAKE....HAWA WATU NI SHIDAAAA

http://www.gushit.com/files/bookmark_photos/b7c13b0a47L.jpg
clouds
Hawa watangazaji wa Clouds FM, B12, Adam Mchomvu,Millard Ayo na DJ Fetty  ndo watangazaji wanao pendwa sana katika kituo hicho cha radio.Hakika huvuta mamia na maelfu ya wasikilizaji kufwatilia vipindi vyao vyenye ubunifu wa hali ya juu.Timu nzima ya the choice inawapongeza na inawakumbusha kuto bweteka bali kuongeza juhudi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname