Ni siku ya tatu toka Sitti Mtemvu kulivua taji la Miss Tanzania alilotangazwa mshindi baada ya kuandamwa na baadhi ya Watanzania ambao hawakukubaliana na ushindi wake ambapo baada ya kulivua taji hilo Sitti amekua na time ya kuandika machache kwenye page yake ya twitter.
No comments:
Post a Comment