26 November 2014

TAHADHARI: MATAPELI FACEBOOK WATUMIA AKAUNTI YA DAVINA WA BONGO MUVI!

Msanii wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’. “Unajua mpaka sasa watu hawanielewi kabisa mimi, wanajua ni kweli ndiye niliyeandika kitu hicho, si kweli kabisa maana hata ndugu na marafiki zangu wamenishangaa sana na wengine kuanza kunisema kwamba nimeanza mambo ya utapeli,” alisema Davina. 

WALE matapeli wanaotumia jina la Tanzania Loans, ambao huwadanganya watu kuwa wanatoa mikopo isiyo na riba, wameingia kwenye akaunti ya msanii wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ katika mtandao wa facebook na kuwataka watu kuchangamkia mikopo hiyo.SOMA ZAIDI>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname