Mugizaji wa Bongo Movies Kajala Masanja akiwa na binti yake Paulina Frank. Mkali wa filamu za kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kauli mbiu ya kutomficha mtoto wake Paulina Frank kwani kufanya hivyo haitasaidia.
Kajala ameibuka na kauli hiyo kwa kuwajibu mashabiki wake wanaotaka mtoto huyo asionekane kwenye mitandao ya kijamii. Kauli hiyo iliyomchukiza Kajala ilimfanya msanii huyo kuibuka na maneno mazito akisema kuwa binti huyo ni wake na hasaidiwi malezi na mtu yeyote. SOMA ZAIDI>>

No comments:
Post a Comment