11 November 2014

POMBE SIO CHAI! [PICHAZ] AKUTWA MTUPU NDANI YA TRENI BAADA YA KULEWA NA KUSINZIA!


Tumesikia stori nyingi zinazozungumzia athari za matumizi ya pombe kwa kiasi cha kupindukia, stori hii inamhusu jamaa ambaye alilewa kupindukia na kulala usingizi mzito ndani ya treni akiwa mtupu bila kujitambua.
Jamaa ambaye hajatambulika alikutwa amelala usingizi mzito ndani ya treni New York Marekani huku akiwa amevaa soksi na viatu peke yake pasipo nguo yoyote mwilini mwake.PICHA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname