19 November 2014

MREMBO AVUA NGUO NA KUTEMBEA MTUPU BAADA YA KUMFUMANIA MUMEWE NA MWANAMKE MWINGINE!

 Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Tatu Ikoko mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, hivi karibuni alifunga mtaa kwa kutembea bila nguo baada ya kumfumania mumewe akiwa na mwanamke mwingine.Mwanamke anayejulikana kwa jina la Tatu Ikoko akitishia kusaula mbele ya watu. Chanzo chetu cha kuaminika kilisema mwanamke huyo aliondoka nyumbani kwake usiku wa Ijumaa iliyopita na aliporejea asubuhi, alimkuta mwenzake akiwa na kigori mwingine ndani ndipo alipopagawa.
“Alitoka usiku mzima akarudi saa moja asubuhi akamkuta bwana’ke yuko na mwanamke mwingine ndani, akaanzisha vurugu, akavua nguo na kubaki na kanga moja na kuanza kupita mtaani huku akisema nivue nisivue na watu wakawa wanamuitikia vua. SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname