15 November 2014

MASKINI KAJALA! AMTAMANIMADAME WEMA SEPETU! AFUNGUKA MADINI TUPU!


Waigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’ na Wema Sepetu wakati wakiwa pamoja. Kajala alifunguka hayo mara baada ya paparazi wetu kumuuliza kuhusiana na mtazamo wake juu ya Wema na Penny kupatana ndipo aliposema amefurahi mno na hata watu wengine watakuwa wamejifunza kitu kutokana na kupatana kwao. 
SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ kupatana na Beutiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ naye ameibuka na kuweka bayana kuwa hata yeye yupo radhi na anatamani kupatana na Wema ambaye wameogelea kwenye bifu miezi kadhaa sasa. 
Akizidi kushusha ‘vesi’ mbele ya kinasa sauti cha Risasi Jumamosi, Kajala alisema anaamini siku zote bifu zinarudisha nyuma maendeleo hivyo Wema kupatana na Penny ni jambo la busara kwani ni moja ya chachu ya kufanya mambo mengine yaendelee kwani hata yeye hapendezwi na mabifu. 

Wema Sepetu akipozi. “Hata mimi natamani kupatana na Wema. Mabifu ni mambo ya kitoto sana, kwa kweli nimefurahi sana kuona Penny na Wema SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname