22 November 2014

JOKATE KIDOTI: WATU WENGI WANASEMA MIMI


Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo.
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli. SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname