Mwanamitindo,
mtangazaji wa TV na msanii wa muziki na filamu Jokate Mwegelo ameingia
tena ndani ya studio za Pesa Records chini ya producer Allonem na
kuandaa wimbo mpya uliopo kwenye hatua za mwisho. 12 November 2014
HUU NDIO UJIO MPYA WA JOKATE KIDOTI!
Mwanamitindo,
mtangazaji wa TV na msanii wa muziki na filamu Jokate Mwegelo ameingia
tena ndani ya studio za Pesa Records chini ya producer Allonem na
kuandaa wimbo mpya uliopo kwenye hatua za mwisho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment