11 November 2014

HIKI NDICHO KINACHOENDELEA BAADA YA WEMA NA PENNY KUPATANA

Baada ya kupatanishwa jumamosi ya November 8 2014, Wema na Penny sasa wameamua kuonyesha wazi kuwa hakuna beef kati yao na mambo yote yako wazi. Penny ameonekana akiwa karibu na Wema nyumbani kwake hivi karibuni.
Wanasema ni ngumu kuwa mabinti wawili waliowahi kuwa na mahusiano na mwanaume moja kubaki marafiki

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname