Mwigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna yoyote ili mwanaye Paula apate mdogo wake hivyo suala hilo lipo katika mchakato yakinifu na mpenzi
wake wa sasa ambaye hakupenda kumwanika jina lake.
wake wa sasa ambaye hakupenda kumwanika jina lake.
MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha.SOMA ZAIDI>>>>

No comments:
Post a Comment