Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Moro
goro Warda Makongwa[mbele]akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni mtangaazaji nyota wa redio Times Fm ya jijini Dar kulia nI mwandishi Mwandamizi wa Global Publishers lssa Mnally Mzee wa GX 100 akitaniana na Dida
Kulini ni mdogo wa mwandishi wa Global Publishers lmelda Mtema ambaye naye alifunga safari kutoka Dar mpaka Moro kuja kwenye Birthday hiyo
Dida akiondoka kwa madaha baada ya kumuhusia mdogo wake huku Mc Chuma uleta akimkodolea jichoBOFYA KUONA PICHA ZAIDI>>>>
No comments:
Post a Comment