21 November 2014

"DIAMOND SIO SUKARI....NI SHUBIRI TENA ILIYOKOMAA" WEMA AFUNGUKA.......SOMA HAPA

Baada ya kumpa za chembe Sukari ya warembo, aliyegeuka kuwa shubiri ya Wema....mnyage Wema afunguka mzito na kuwaga sababu zilizofanya ampe kibuti Diamond, tena kasisitiza 'Hata Zari hawezi kuwa nae' jisomee mwenyewe hapa, ni aibuuu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname