The Choice

25 November 2014

BAADA YA KUTANGA TANGA KWA MUDA MREFU MSANII WA KIZAZI KIPYA AMBUKIZWA GOJWA BAYA

Msanii wa Bongo Fleva, Baby Madaha.MSANII wa Bongo Fleva, Baby Madaha anadaiwa kuambukizwa gonjwa hatari la zinaa ambalo halikutajwa jina lakini likielezwa kuwa linampa wakati mgumu kisaikolojia. 
Chanzo kimoja kimeiambia show bize kuwa, nyota huyo amekuwa akitumia dawa za kusafisha haja ndogo kwa muda mrefu lakini bila mafanikio.Show bize ilimsaka Baby Madaha mwenyewe ambapo aling’aka kwa ukali.
“Hizo habari nani kakupa wewe? Hayo si moja ya maisha ya wanadamu kwani kipi kibaya hapo? Oke, sawa naumwa na hao wanaume wanaotaka nikatibiwe wanajua mimi naumwa nini? Magonjwa ya zinaa si yana dawa?” alihoji.

Hata hivyo, mrembo huyo alisema yeye ana tatizo la haja ndogo kuwa chafu lakini si ugonjwa wa zinaa.
Posted by Jason at 14:30
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • MUIGIZAJI AJIKATA UUME AKITAKA KUWA MWANAUME
  • DIAMOND PLATINUMZ ANENA MAZITO KUHUSU WEMA, AJIAPIZA KIFO! WEMA NAYE AJIBU MAPIGO!
  • ANGALIA PICHA WAFUASI WA CHADEMA WAKIPIGANA NJE YA MAHAKAMA LEO HII
  • TAZAMA SHABIKI HUYU WA KIKE AKIWA NA BIKINI ALIPOVAMIA UWANJANI WAKATI MECHI IKIENDELEA
  • MANENO MAZITO YA DAVIDO KUHUSU USHINDI WA DIAMOND
  • JUACALI - BABA YAO (Official Video)
  • NAMNA YA KUMBUSU MPENZI WAKO ( DENDA )
  • WATOTO WA RAIS OBAMA NDANI YA SKENDO CHAFU YA MAVAZI YA KIHASARA!
  • JINSI YA KUAMUA KUZAA MTOTO WA KIKE AU WA KIUME.... SOMO HILI LITASAIDIA KUPUNGUZA UGOMVI
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU DODOMA(UDOM) ,UDSM ,MZUMBE ,SAUT ,KETU 2013/2014

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.