kuna
mambo hapo juu kwenye hii Cv kidogo yananipa shida. naomba wadau
mliosoma zamani mnisaidie. je miaka ya nyuma Elimu ya Msingi ilikuwa
miaka mi tatu?
Huyu mama Dr.Lwakatare alisoma Ifakara Girls Primary School | alianza mwaka 1962 | na kumaliza 1965 | . |
pia nisaidien je elimu ya sekondari A level ilikuwa mwaka mmoja ? Maana yeye CV yake inaonesha
Korogwe Girls' High School | A-Level Education | alianza 1970 | na kumaliza 1971 | HIGH SCHOOL |
Degree miaka ya nyuma zilikuwa zinasomwa kwa miaka mingapi? maana yeye alisoma mwaka mmoja tu
Eastern & Southern Africa Management Institute | BA(Mass Communication) | alianza mwaka 1982 na kumaliza | 1983 |
No comments:
Post a Comment