17 November 2014

AIBU NZITO...MUME WA MTU NAYE SUMU JAMANI...JIONEE KILICHOMKUTA MDADA HUYU WA KIBONGO!

Mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mume wa mtu kupitia njia za panya zilizoandaliwa na mke wa mwanaume huyo....
Baada ya mitego ya kumnasa kutimia, mwanamke huyo alikalishwa kitako na kisha kuanza kunyolewa nywele zake kwa kisu huku akitakiwa aeleze kila kitu na ni lini alianza kutoka na mume wa mtu.....

Baada ya kumaliza kumnyoa nywele, "wafumaniaji" hao walichukua chupa na kumlazimisha mwanamke huyo aikalie ili amalize hamu zake....
Video ya tukio hilo ipo hapo chini. ( >>>BONYEZA HAPA!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname