29 October 2014

MAAJABU: MWANAMKE ALIPA MILIONI 33 KUONGEZEWA TITI LA TATU

MWANAMKE aliyejitambulisha kwa jina la Jasmine Tridevil (siyo jina lake halisi) mwenye umri wa miaka 21 amedai kufanyiwa upasuaji na kuongezwa titi la tatu kupitia mahojiano aliyoyafanya redioni.
Jasmine Tridevil katika pozi.Jasmine ambaye ni raia wa Tampa jijini Florida nchini Marekani anayejishughulisha na utoaji huduma ya massage, alilipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 sawa na milioni 33.4 za Tanzania kufanyiwa upasuaji huo.PICHA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname