28 October 2014

KUMEKUCHA BIG BROTHER AFRIKA, MSHIRIKI AMCHEZEA MWENZAKE

Vihoja vimeanza kwenye shindano la Big Brother Afrika 2014, HotShots, ambapo kamera zimewanasa washiriki wakichezeana makalio.
Mashiriki kutoka Namibia Luis amenaswa na kamera akiwa anamchezea makalio mshiriki mwenzake Lilian kutoka Nigeria ikiwa ndo kwanza siku moja tu imepita toka shindano hilo lizinduliwe. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname