25 October 2014

JE UNAFAMAMU NI WASANII GANI WA BONGO WALIMSHTUA SANA DAVIDO KWENYE FIESTA 2014 DAR

Davido 33

Unaambiwa weekend iliyopita kwenye Fiesta ya Dar es salaam mwimbaji Davido wa Nigeria alitumia dakika zake zote kutazama screen zilizokua zimewekwa nyuma ya stage ya Fiesta baada ya kusikia shangwe zilizokua zinapigwa baada ya Wakali wengine kupewa time ya kumiliki stage.
Alilazimika kutazama TV hizo kwa umakini baada ya kuona shangwe walilopata WEUSIambapo mashabiki walikua wanaimba nyimbo zao kwa muda mrefu ambapo Davido kabla ya kuuliza alitumia muda mrefu kuwatazama kwa makini baada ya kushangazwa na shangwe walilokua wanapata WEUSI hawa.
BOFYA KUSOMA ZAIDI>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname