

Huu ni muonekano wa Staa wa Pozi kwa Pozi, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa.Picha hiyo ambayo ameipiga kitambo juzikati ilisambaa kwa kasi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na kuwafanya watu waanze kubishana kama ni yeye au ni mtu anayefanana naye na wengine kukerwa na picha hiyo wakisema itolewe kwa kuwa inamdhalilisha staa wao.
Baada ya kuona mzozo huo unakuwa mkubwa, gazeti hili lilimtafuta Ommy Dimpoz ili aeleze kama ni yeye ambapo alikiri kwamba ni yeye na kudai aliyekuwa na picha hiyo ni mjomba’ake tu anashangaa ilivyovuja mitandaoni.
No comments:
Post a Comment