Katika interview yake na Sporah Show diamond Platnumz ameongelea
vituvingi sana ambavyo ajawai kuvisema.Sporah alimuuliza Diamond swali
hili"Je unamsaidia baba yako,au kuna kitu chochote anachotaka au kuna
kitu akipo sawa"Diamond alijibu hivi "Sio kivile.Unajua alikuwa mmoja
watu matajiri Tanzania,kwahiyo sijui kama ana pesa au hana,lakini kama
hana na anataka kitu nitampa,lakini siwezi kwenda na kumuuliza kama
anataka kitu,lakini naweza kumuuliza mama yangu
Sporah alimuuliza Diamond kama baba yake alimkataa kwenye umri mdogo
alimrudiha pale aliposikia Diamond ametoka kimuziki na Diamond
alifunguka hivi.
"Yes alinirudia na mimi nikamwambiia siwezi kukuchukia baba lakini
sitakuwa na mapenzi ambayo mtoto inabidi awenayo kwa baba yake,lakini
yeye bado ni baba yangu,na ataendelea kuwa baba yangu,lakini ukija kwa
mama yaangu ni mama yangu uwezi kumlinganisha na baba yangu,ni tofauti
kabisaSporah aliendelea kumuukiza ni uhusiano gani hasa unaoendelea baina yeye na baba yake
"Ni wa kawaida.Natakaa na mama yangu siwezi kukaa mda mrefu bila kuwasiliana na mama yangu lakini naweza kukaa hata mwezi bila kuwasiliana na baba yangu,najaribu mara nyingine lakini siwezi sababu sijazoea
No comments:
Post a Comment