wengine
tumeolewa na tuna familia zetu na tunamueshimu Mr nice kama
msanii mwenzetu na kama kaka yetu, na ndugu zetu na tunawaeshimu sana
na wao wanatueshimu sasa wanavyosikia mambo kama haya wanajisikia vibaya
kabisa .Solange akiwa na Mr nice wanashuti movie Location
Sababu
tu wao wanavyokazania kuwa sisi tumelala kweli na mr nice kwa kweli
nashindwa kuwaelewa .na naona mtu kuwa msanii kunatokea vitu vingi
na kwasasa naona kuwa msanii ni vita vikubwa Sana kwa sababu inaomba mtu
awe mvumilivu Sana si mchezo kabiasa haya mambo
No comments:
Post a Comment