Mastaa waliona picha zao za utupu zikiwa zimeuploadiwa kwenye intanet bila wao kutaka mapema mwezi huu, akiwemo mwanamitindo Kate Upton na muigizaji Jennifer Lawrence. Jill Scott pia ni muhanga anayelalamikia kuingiliwa kwa account yake kwa muda huu, akini amekana alikubali picha yake itoke ambayo imesemekana kuwa yeye, alithibitisha picha moja akiwa kwenye kamba ilikuwa ni ya kweli. Rihanna ambaye alionekana akiwa mtupu kwenye cover la gazeti la LUI mapema mwaka huu ajasema kutokana na picha zilizovuja sasa hivi, Union amesema atawasiliana na FBI kuhusiana na swala hilo.
23 September 2014
Rihanna, Kim Kardshian Picha Zao Za Utupu Imeripotiwa Kuvuja Baada Ya Account Zao Kuwa Hacked
Mastaa waliona picha zao za utupu zikiwa zimeuploadiwa kwenye intanet bila wao kutaka mapema mwezi huu, akiwemo mwanamitindo Kate Upton na muigizaji Jennifer Lawrence. Jill Scott pia ni muhanga anayelalamikia kuingiliwa kwa account yake kwa muda huu, akini amekana alikubali picha yake itoke ambayo imesemekana kuwa yeye, alithibitisha picha moja akiwa kwenye kamba ilikuwa ni ya kweli. Rihanna ambaye alionekana akiwa mtupu kwenye cover la gazeti la LUI mapema mwaka huu ajasema kutokana na picha zilizovuja sasa hivi, Union amesema atawasiliana na FBI kuhusiana na swala hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment